Home International MESSI AFUNGA BAO LAKE LA KWANZA KWENYE LIGI

MESSI AFUNGA BAO LAKE LA KWANZA KWENYE LIGI

PARIS, FRANCE - NOVEMBER 20:Leo Messi of PSG rounds the bend during the Ligue 1 Uber Eats match between Paris Saint Germain and FC Nantes at Parc des Princes on November 20, 2021 in Paris, France. (Photo by Jose Breton/Pics Action/NurPhoto via Getty Images)

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha PSG, Lionel Messi ameingia kwenye rekodi ya wale  waliopata nafasi ya kufunga kwenye Ligi Kuu Ufaransa.

Messi alifunga bao moja kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Nates na PSG iliweza kushinda kwa mabao 3-1 ikiwa nyumbani.

Mshambuliaji huyo alijiunga na timu hiyo akitokea Klabu ya Barcelona na mwanzo wa msimu wa 2021/22 alikuwa bado hajaweza kufunga.

Mabao mengine yalifungwa na Kylian Mbappe na Dennis Appiah alijifunga.

Previous articleCHAMA AOMBA KURUDI BONGO
Next articleMANULA REKODI YAKE YATIBULIWA