
Dar es Salaam Yasherehekea Ushindi wa Sajenti Simbu wa Marathon
Bingwa wa Dunia wa Marathon mbio za Kilometa 42, Askari wa Jeshi la Wananchi la…
Bingwa wa Dunia wa Marathon mbio za Kilometa 42, Askari wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), Sajenti Alphonce Simbu amesema anajivunia kuiheshimisha nchi yake kwa kuibuka mshindi wa Medali ya Dhahabu Jijini Tokyo, Japan hivi karibuni. Simbu aliwasili leo saa tisa alfajiri na kupokelewa na msafara na mabasi matano huku Watumishi wenzake wa JWTZ…
Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya 2025, akiwashinda wachezaji maarufu kama Lamine Yamal wa Barcelona na Mohamed Salah wa Liverpool. Katika msimu wa 2024/25, Dembélé alifunga mabao 37 na kutoa pasi za mwisho 15, akisaidia PSG kutwaa mataji manne muhimu:…
Klabu ya Simba SC imefanya uteuzi rasmi wa kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kuwa kocha mkuu wa muda wa timu hiyo. Hemed Morocco, ambaye pia ni kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, atachukua jukumu hili hadi klabu itakapompata kocha mpya wa kudumu. Uteuzi huu unalenga kuimarisha maandalizi ya timu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa…
Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, ameaga rasmi klabu hiyo akieleza hisia zake nzito baada ya muda wake kumalizika Msimbazi. Katika ujumbe wake wa kuaga, Davids amesema tangu siku ya kwanza alipojiunga na Simba alihisi mapenzi makubwa ya klabu hiyo na mashabiki wake, ambao amewataja kama nguzo kubwa ya mafanikio ya timu. “Kuanzia nilipofika, nilihisi…
Wiki ya kivumbi na ushindani mkali imefika tena. Kombe la Carabao limeingia hatua ya tatu, na jioni ya leo mashabiki wa soka wanatarajia mechi kali zinazowakutanisha wakali wa Uingereza. Kwa wale wanaopenda kubashiri, Meridianbet imeweka mazingira bora ya ushindi kupitia odds zilizopikwa kwa ustadi wa hali ya juu. Mabingwa wa Dunia ngazi ya Vilabu, Chelsea,…
Meridianbet, jina kubwa katika ulimwengu wa kubashiri Tanzania, limezindua promosheni kabambe ya Playson Short Races, mashindano ya kila usiku yanayowapa wachezaji nafasi ya kujinyakulia mamilioni kwa kasi ya ajabu. Kuanzia Septemba 9 hadi mwisho wa mwezi huu, mashindano haya yatafanyika kila siku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku kwa saa za Afrika Mashariki,…
Baada ya kuagana rasmi na mabingwa wa kihistoria wa Tanzania, Simba SC, kocha raia wa Afrika Kusini Fadlu Davids sasa amejiunga na wakali wa Morocco, Raja Club Athletic, kama kocha mkuu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vya karibu na klabu hiyo, makubaliano yote kati ya pande mbili yamekamilika, na Fadlu anarejea katika timu aliyowahi…
Kwenye mchezo wa kasino mtandaoni, ushindi haupo tu kwenye namba, uko kwenye uzoefu, msisimko, na zawadi halisi. Meridianbet imeleta mapinduzi mapya kwa wachezaji wa kasino mtandaoni kupitia mchezo wa Super Heli, ambao sasa unakuja na ofa ya kuvutia ya kujishindia simu mpya ya Samsung Galaxy A25 kwa kucheza Super Heli. Super Heli si mchezo wa…
“Ni kweli, mijadala ipo—Simba haikucheza soka la kuvutia sana dhidi ya Gaborone United, lakini bado ikaibuka na ushindi. Wapo wanaoona kama ni dalili za udhaifu, lakini kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kutoa hukumu ya haraka. Kwanza, Simba walikabiliana na timu bora ambayo ilikuwa imepumzika na kujiandaa kikamilifu kwa mechi hiyo. Pili, Simba wamekusanya…
Vilabu vya Tanzania vimeendelea kutamba kwenye michuano ya kimataifa ya Afrika baada ya Simba SC na Singida Black Stars kusajili ushindi muhimu katika michezo yao ya marudiano ya awali. Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Simba SC ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye mchezo uliopigwa mjini Gaborone….
FT: Gaborone United 0-1 Simba SC Bao pekee la ushindi limefungwa na Ellie Mpanzu dakika ya 15 akitumia pasi ya nahodha Shomari Kapombe Zimeongezwa dakika 5 Dakika ya 89 Thomas Chideo anapiga faulo nje kidogo ya 18 unakwenda nje ya lango Dakika ya 87 Willson Nangu anaingia anchukua nafasi ya Ellie Mpanzu ukiwa ni mchezo…
Wikendi yako inaanza vizuri ukiwa na akaunti ya Meridianbet leo. Kila timu inahitaji ushindi huku na wewe ukiwa unahitaji ushindi wako wa maana. Bayern, Chelsea, Juve na wengine kibao wanakungoja leo. LALIGA kule Hispania itarindima siku ya leo ambapo kinara wa ligi Real Madrid atakipiga dhidi ya Espanyol Barcelona ambao mpaka sasa ana pointi 10…
Singida Black Stars chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi leo Septemba 20 2025 kitakuwa kazini kwenye kete ya kwanza hatua ya awali Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hiyo imetoka kutwaa ubingwa wa Kagame Cup kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal na yote kwa Singida Black Stars yalifungwa na kiungo mshambuliaji Clatous Chama….
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa, Yanga SC wamefungua pazia kwa ushindi mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Wiliete SC 0-3 Yanga SC mchezo huo ulichezwa Septemba 19 2025. Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz inaanza kete yake ya kwanza kimataifa msimu wa…
SEPTEMBA 20 2025 ni Gaborone United vs Simba SC mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo wababe hawa watakuwa katika dakika 90 za kusaka ushindi kabla ya mchezo wa pili utakaotoa mshindi wa jumla atakayekwenda hatua inayofuata. Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amesema wanachohitaji ni ushindi ili kutimiza malengo ya…
FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC Mchezo umekamilika Yanga SC ikiwa ugenini ikipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Wiliete. Mabao ya Yanga SC yamefungwa na Aziz Andambilwe dakika ya 31, Edmund John dakika ya 71 na Prince Dube dakika ya 79. Dakika ya 88 nahodha wa Wiliete anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo nyota…
YANGA SC Septemba 19 2025 itakuwa na kibarua mchezo dhidi ya Wiliete SC ya Angola ikiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali. Kwenye mchezo wa leo, Kocha Mkuu, Romain Folz ameanza na nahodha Bakari huku kiungo aliyefanya kazi kubwa mchezo uliopita dhidi ya Simba SC, Aziz Andambwile naye akianza moja kwa…