
FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC
FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC Mchezo umekamilika Yanga SC ikiwa ugenini ikipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Wiliete. Mabao ya Yanga SC yamefungwa na Aziz Andambilwe dakika ya 31, Edmund John dakika ya 71 na Prince Dube dakika ya 79. Dakika ya 88 nahodha wa Wiliete anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo nyota…