
AZAM FC YAANZA MATIZI, IBENGE ATUMA UJUMBE
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameanza maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge. Azam FC iligotea nafasi ya pili kwenye msimamo msimu wa 2024/25 na kiungo Feisal Salum alikuwa namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ambazo ni 13 na alifunga mabao manne yote kwa mguu wa kulia. Ibenge ameweka wazi…