
KMC NA BITTECH ZATEMBELEA FARAJA ORPHANAGE CENTRE
Jumatano ya leo imeanza vyema kabisa kwenye kituo cha watoto yatima cha Faraja Orphanage Centre kule Mburahati Maziwa baada ya kupokea ujio wa Bittech na KMC ambao walifika kwaajili ya kutoa msaada kwa watoto hao. Kituo hicho cha Faraja Orphanage Centre kina watoto wengi ambao pia wanahitaji msaada kutoka sehemu mbalimbali kwani hata kwenye vitabu…