
USAJILI WA KWANZA SIMBA HUU HAPA, MSHAMBULIAJI WA MABAO KUTAMBULISHWA
MSIMBAZI kumeanza kumechangamka kupitia usajili baada ya dirisha la usajili kufunguliwa huku wakiwa hajatangaza mchezaji hata mmoja mpya ambaye ameshasaini kandarasi Simba SC. Mabosi wa Singida Black Stars, wameeleza kuwa Jonathan Sowah ambaye ni mshambuliaji wao wameingia makubaliano ya kumuuza ndani ya Simba SC kwa makubaliano maalumu. Hivyo Sowah anakuwa nyota wa kwanza usajili wake…