Hiki hapa kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC

MABINGWA watetezi wa taji ya Ngao ya Jamii wapo Uwanja wa Mkapa kwenye msako wa ushindi ndani ya uwanja. Dakika 45 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Mkapa ukiwa unasoma Yanga SC 0-0 Simba SC, Septemba 16 2025 huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Katika mchezo wa leo mwamuzi wa kati ni Ahmed Arajiga ambaye anasimamia…

Read More

CHEZA AVIATOR, SHINDA SAMSUNG A25 MPYA KILA JUMATATU

Meridianbet imeleta msisimko mpya kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri mwezi huu wa Septemba, kwa kuzindua promosheni ya kipekee kupitia mchezo maarufu wa Aviator. Kuanzia tarehe 1 hadi 30 Septemba 2025, wachezaji wanapata nafasi ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kila wiki, zawadi zinazotolewa kwa washindi waliocheza kwa ustadi na bahati. Meridianbet itatoa simu…

Read More

YANGA SC YAISOMA SIMBA SC KWA VIDEO KAZI IPO

DICKSON Job beki wa Yanga SC amefichua kwamba wachezaji wageni wamepewa video za wapinzani wao Simba SC ili watambue namna ya kukabiliana nao. Miongoni mwa wachezaji wageni ndani ya kikosi cha Yanga SC ni Celestin Ecua ambaye kwenye mchezo wa Yanga Day dhidi ya Bandari alifunga bao akitumia pasi ya mshambuliaji Prince Dube. Ecua anapewa…

Read More

CHAMA AIPA UBINGWA SINGIDA BLACK STARS ATAJA SIRI

Kiungo mpya wa Klabu ya Singida Black Stars, Clatous Chama ameipa ubingwa wa kwanza timu hiyo baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa fainali Kagame Cup 2025. Singida Black Stars ilitinga hatua ya fainali kwa kuifungashia virago KMC kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali iliyochezwa Uwanja wa KMC Complex. Kwenye mchezo huo uliochezwa…

Read More

Phased Achievements of China-Tanzania “Chinese + Vocational Skills” Project Realized: Educational Outcomes Deepen Bilateral Vocational Education Cooperation

The four teachers participating in the 2025 China-Tanzania “Chinese + Vocational Skills” Project are respectively from Zhengzhou Railway Vocational & Technical College, Zhengzhou Vocational College of Information Technology, and Henan College of Surveying and Mapping. Locally, they taught specialized courses in Civil Engineering, Mechatronics Technology, Artificial Intelligence Technology Application, and Survey and Mapping Engineering Technology…

Read More

BETWAY INAPANUA UZOEFU WA KASINO KWA KUTAMBULISHA MFULULIZO WA MICHEZO YENYE UPEKEE

Betway, Kampuni inayoongoza Duniani kwenye michezo ya kubashiri na burudani mtandaoni, inajivunia kutambulisha ofa yake mpya: Mfululizo wa michezo ya kipekee ya kasino inayopatikana kwenye jukwaa lake lenye ubora wa kiwango cha kimataifa. Uzinduzi huu wa ni sehemu ya ahadi endelevu za Betway za kuwapa wachezaji wake thamani, msisimko na ubunifu zaidi. Mkusanyiko mpya unajumuisha…

Read More

LALIGA & SERIE A ZATOA NAFASI MPYA ZA KUSHINDA

Utajiri upo mkononi mwako na Meridianbet siku ya leo endapo utaamua kutengeneza jamvi lako na kubashiri mechi za leo. Wikendi ilikuwa nzuri kwani watu wengi wameondoka na mshiko mkononi na hivi sasa ni zamu yako. Jisajili sasa na ujishindie hapa. SERIE A kule Italia kutakuwa na mechi kali mbili kati ya Hellas Verona vs US…

Read More

Jean Ahoua kwenye mtihani mwingine Simba SC

JEAN Ahoua kiungo mshambuliaji namba moja wa Simba SC kwenye mtihani mwingine ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids itakuwa Septemba 16 2025. Ahoua ni namba moja kwenye utengenezaji mipango ndani ya kikosi hicho, msimu wa 2024/25 alitengeneza jumla ya pasi 9 za mabao. Mbali na kutengeneza pasi hizo 9 za mabao…

Read More

BETWAY TUNZO, MCHONGO MPYA UNAOWAPA WATEJA SABABU ZAIDI ZA KUCHEZA NA BETWAY

Betway, moja ya kampuni inayoongoza duniani kwenye michezo ya kubashiri, imejizatiti kuwapa wateja wake huduma mpya yenye kuvutia, kusisimua na ubunifu mkubwa ambao unaendelea kuboresha uzoefu wa mteja kwenye kubashiri. Ukizingatia wingi wa huduma za kipekee ambazo Betway imeleta karibu na mteja kama vile Win Boost, Bet Influencer, Bet Saver, Cash Out na nyingine kibao,…

Read More