
YANGA SC KUTIKISA USAJILI 2025/26
MABOSI wa Yanga SC inaelezwa kuwa wamedhamiria kulipa kisasi baada ya watani zao wa jadi kuanza kuwatikisa kwenye suala la usajili kuelekea msimu wa 2025/26. Kete ya kwanza kwa Yanga SC kushinda ilikuwa kuinasa saini ya Balla Conte ambaye tayari ametambulishwa Yanga SC kwa kandarasi ya miaka miwili. Mchezaji huyo inatajwa kuwa Simba SC walikuwa…