
MANCHESTER CITY YAICHAPA PSG NA MESSI NDANI
MBELE ya mastaa wakubwa ambao wanalipwa mkwanja mrefu ikiwa ni pamoja na Lionel Messi, Neymar Jr na Kylian Mbappe bado Manchester City waliibuka wababe. Ni katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Etihad ambao ulikuwa ni wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, City walisepa na pointi tatu mazima. Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya PSG unaifanya timu hiyo…