Home Sports VIDEO:FIFA YAMTEUA SALEH JEMBE,SAKATA LA MORRISON AFUNGUKA

VIDEO:FIFA YAMTEUA SALEH JEMBE,SAKATA LA MORRISON AFUNGUKA

MWANDISHI nguli kwenye sekta ya michezo wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra, Saleh Ally, ‘Jembe’ amechaguliwa na Shirikisho la Kimataifa, (Fifa) kuwa mwandishi pekee kutoka Tanzania kupiga Kura kwenye Tuzo za Mchezaji Bora wa Fifa zinazotarajiwa kufanyika Januari 17,mwakani.

Previous articleFEI TOTO ASHUSHA PRESHA YANGA
Next articleMUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI