
RONALDO ANAKIWASHA TU HUKO
CRISTIANO Ronaldo nyota wa Manchester United mbele ya mashabiki 14,443 katika Uwanja wa Gewiss aliibuka kuwa mchezaji bora wa mchezo huo jambo linalomaanisha kwamba hana jambo dogo. Kwenye sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Atalanta, Ronaldo alipachika mabao mawili dakika ya 45 na 90. Mabao ya Atalanta yalipachikwa na Josip Ilicic dakika ya…