Home International RONALDO ANAKIWASHA TU HUKO

RONALDO ANAKIWASHA TU HUKO

CRISTIANO Ronaldo nyota wa Manchester United mbele ya mashabiki 14,443 katika Uwanja wa Gewiss aliibuka kuwa mchezaji bora wa mchezo huo jambo linalomaanisha kwamba hana jambo dogo.

 

Kwenye sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Atalanta, Ronaldo alipachika mabao mawili dakika ya 45 na 90.

Mabao ya Atalanta yalipachikwa na Josip Ilicic dakika ya 12 na Duvan Zapata dakika ya 56.

Sare hiyo inawafanya Manchester United kufikisha pointi 7 ikiwa nafasi ya kwanza inafuatiwa na Villarreal iliyo nafasi ya pili na pointi 7 tofauti katika mabao ya kufunga na kufungana ambapo United wana mabao 7 na Villarreal mabao matano.

Previous articleARGUERO ASHAURIWA KUKAA NJE MIEZI MITATU
Next articleSIMBA WAVAMIA VYUMBA VYA WACHEZAJI