MSANII ROSE NDAUKA ANUSURIKA AJALI YA GARI, AMSHUKURU MUNGU!

Msanii wa filamu na muziki, Rose Ndauka, amenusurika katika ajali ya gari na kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rose alishiriki picha za gari lililopata ajali huku akiandika ujumbe mfupi uliojaa shukrani: “Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote 🙏🙏🙏.” Ujumbe huo uliwagusa mashabiki wengi ambao walimiminika kwenye ukurasa wake kumpongeza…

Read More

KIPA SIMBA SC KUIBUKIA FOUNTAIN GATE

INATAJWA kuwa baada ya kipa namba mbili wa Simba SC kukutana na Than You Septemba 5 2025 kuna uwezekano akaibukia ndani ya Fountain Gate. Ni Ally Salim ambaye kwa msimu wa 2024/25 alikuwa chaguo la pili kikosi cha Simba SC na namba moja alikuwa ni Moussa Camara. Chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Salim alianza…

Read More

Yanga SC ni mwendo wa Tunapiga Kichwani Tu

Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa kwa sasa Yanga SC hakuna suala la kupeana matumaini bali ni mwendelezo wa dozi pale ambapo waliishia. Ipo wazi kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Kwa sasa wana jambo kubwa la Wiki ya Mwananchi ambalo…

Read More

China-Tanzania cooperation gains momentum with launch of “Chinese + Vocational Skills” Training ate closely with UDSM and VETA Kipawa.

The China-Tanzania “Chinese + Vocational Skills” project organized by Henan Lianfei Business Information Consulting Co., Ltd. is implemented at the University of Dar es Salaam (UDSM) and VETA Kipawa ICT Centre. The short-term project will help young people master the practical skills necessary for Tanzania’s industrial transformation and sustainable development and empower them to acquire…

Read More

TAIFA STARS KAZINI LEO

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Septemba 5 2025 kitakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Congo Brazzaville ambao ni maalumu kwa ajili ya kufuzu kombe la Dunia 2026 utakaochezwa  Uwanja wa Alphonce Masamba Debat. Septemba 4 2025 Stars ilifanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa ambao utatumika kwa mchezo wa leo…

Read More

SAFU MPYA YA UONGOZI SIMBA SC IPO HIVI

MO Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC hivyo mipango yote itakuwa inaendelea chini ya safu mpya ya uongozi. Mo amebainisha kuwa ameamua kufanya hivyo kutokana na  kuhudumu kwa muda mrefu na majukumu yake akiwa mbali ameone ni muhimu Klabu ya Simba SC ipate kiongozi wa bodi ambaye…

Read More

FOUNTAIN GATE WAPO KAMILI KWA 2025/26

UONGOZI wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa upo tayari kwa msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuanza rasmi Septemba 17 2025. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 haukuwa imara kwa timu hiyo ambayo ilianza kwa kasi mzunguko wa kwanza na iliandika rekodi ya kuwa ndani ya tano bora kwa muda mrefu kisha ikaporomoka mpaka kuwa timu iliyocheza…

Read More

MBEBA MIKOBA YA AZIZ KI YANGA SC BALAA LAKE ZITO

INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz anatajwa kuwa na balaa zito kwenye uwanja wa mazoezi. Ni kiungo ambaye anatajwa kuwa mbeba mikoba ya nyota Aziz Ki ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC msimu wa 2025/26 baada ya kupata changamoto mpya. Anaitwa Mohammed Doumbia inaelezwa kuwa…

Read More