
SIMBA YAWATAMBULISHA RASMI WILSON NANGU NA KIPA KUTOKA JKT
Klabu ya Simba SC imeendelea na harakati zake za kuimarisha kikosi kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC na michuano ya kimataifa kwa kuwatambulisha rasmi nyota wapya wawili kutoka klabu ya JKT Tanzania. Wachezaji hao ni Wilson Nangu, beki wa kati wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), pamoja na kipa ambaye ameonyesha…