
FADLU DAVIDS KAZI ANAYO SIMBA SC
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amekabidhiwa rungu la kufanya maamuzi kwa wachezaji ambao wanapaswa kuondoka katika kikosi hicho na wale ambao watabaki kwa msimu wa 2025/26. Miongoni mwa wachezaji ambao Fadlu amebainisha kwamba anahitaji wabaki inaelezwa ni beki Mohamed Hussen ambaye mkataba wake umeisha akiwa anatajwa kuwa katika rada za Yanga SC. Kocha…