
SIMBA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO MAEMA
Nyota mpya Simba SC, raia wa Afrika Kusini Neo Maema ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi hicho Agosti 21 2025 kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Huyu ni kiungo mshambuliaji ambaye yupo na timu kambini nchini Misri alikuwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini, maarufu kwa jina la Bafanabafana kwenye CHAN 2024. Nyota huyo…