
YUSUPH KAGOMA APEWA KAZI MAALUMU NA ALI KAMWE
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC amempa kazi maalumu kiungo mkabaji wa Simba SC, Yusuph Kagoma kuelekea kwenye mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco. Tayari hatua za makundi zimegota mwisho huku timu za Ukanda wa CECAFA zikiwa vinara katika makundi yao. Tanzania kutoka kundi B, Kenya kutoka kundi A na Uganda kutoka kundi…