AZAM YAMSAJILI EDWARD MANYAMA KWA MKATABA WA MWAKA MMOJA

Klabu ya Azam FC imethibitisha kumsajili beki wa kati Edward Charles Manyama kwa mkataba wa mwaka mmoja, utakaomuweka ndani ya kikosi hicho hadi mwaka 2026. Manyama (31), raia wa Tanzania, ana historia ya kuchezea vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu Tanzania Bara, vikiwemo Namungo FC, Azam FC, Ruvu Shooting na Singida Black Stars. Anarejea kwa Wanalambalamba…

Read More

TANDIKA JAMVI NA MECHI ZA KUFUZU UEFA HAPA

Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa Meridianbet kwenye mechi za kufuzu Uefa. Bahati ipo mkononi mwako leo hivyo changamka kusuka jamvi lako la ushindi siku ya leo. Leo hii katika dimba la Ulker Stadyumu, Fenerbahce atamleta nyumbani kwake Feyenoord ya kule Uholanzi kusaka ushindi baada ya kupoteza mechi ya kwanza. Mwenyeji anataka…

Read More

DILI la MZIZE LIPO HIVI: SALEH JEMBE AFICHUA TATIZO LILIPO – AWAAMBIA YANGA – ”ANATAFUTA MAISHA”..

Mchambuzi mahiri wa soka nchini, Saleh Jembe, amesema kuwa ubora wa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC umechangia kwa kiasi kikubwa kuimarika kwa kiwango cha Timu ya Taifa, Taifa Stars. Akizungumza kuhusu mashindano ya CHAN, Jembe alisema Stars imeanza vizuri na anaamini itaendelea na mwenendo huo hadi mwisho. “Ubora wa wachezaji wanaocheza Simba…

Read More

MBIO ZA KUMPATA BINGWA WA LALIGA KUANZA 15 AUGUST

Je unajua kuwa zimebakia siku 4 pekee za kuanza kumsaka bingwa wa Laliga Hispania?. Basi anza safari yako ya ushindi ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania tengeneza jamvi lako la kuchagua mshindi wako unayeona atanyakua taji hilo mwisho wa msimu. Real Madrid ndio ambao wanapewa nafasi ya kwanza kabisa kuchukua taji hili wakiwa na wa…

Read More

SIMBA SC BADO IPO SOKONI

SIMBA SC bado ipo sokoni kusaka wachezaji wapya kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha Simba SC kwa sasa kipo Misri kwa maandalizi ya msimu mpya ambapo inaelezwa kuwa huenda Joshua Mutale akaachwa kuelekea msimu mpya kupisha nafasi ya mchezaji mpya. Mbali na Mutale, Leonel Ateba naye yupo kwenye hesabu…

Read More

KIUNGO WA SIMBA SC KUIBUKIA AZAM FC

SADIO Kanoute kiungo wa kazi ambaye aliwahi kucheza katika kikosi cha Simba SC muda wowote atatambulishwa na matajiri wa Dar Azam FC baada ya kukamilisha masuala ya vipimo ili awe hapo ndani ya msimu wa 2025/26. Kaonoute tayari yupo kwenye ardhi ya Tanzania aliwasili Agosti 10 2025 kwa ajili ya kukamilisha masuala ya usajili ndani…

Read More

YANGA SC BADO WAPO SOKONI KUSAKA WACHEZAJI WAPYA

KAMA unadhani Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wamemaliza usajili, bado kazi haijaisha kwa kuwa kuna wachezaji wengine wapya bado hawajatambulisha. Ikumbukwe kwamba Yanga SC ni mabingwa mara 31 wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC hii ni ligi namba nne kwa ubora Afrika.Ni pointi 82 Yanga SC ilikusanya baada ya mechi…

Read More