
MERIDIANBET YATOA FARAJA KWA MAGOMENI NA MANZESE
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet leo hii imetembelea sehemu maarufu na mashuhuri jijini Dar es salaam Magomeni na Manzese na kutoa msaada wa mahitaji muhimu kwa wakali wa eneo hilo. Meridianbet inasema kuwa inajua jinsi gani ambavyo wakazi wa eneo hilo wana uhitaji hivyo msaada huo uliotolewa ulikuwa ni wa bidhaa za vyakula kama…