
LEEDS VS VILLARREAL, BAYERN VS LYON – BASHIRI NA USHINDE
Siku ya leo wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa una nafasi kabambe kabisa ya kuibuka bingwa kwa kutengeneza jamvi lako kwenye mechi za kirafiki. Timu kibao zipo kwaajili yako. Moto utawaka kati ya Leeds United dhidi ya Villarreal ya kule Hispania, wakati mwenyeji yeye anakipiga kule Uingereza ambapo amepanda daraja na sasa atacheza EPL….