
FOUNTAIN GATE YAMPA MKATABA WA MIAKA MITANO NYOTA WA U 17
TIMU ya Fountain Gate FC imemtambulisha mchezaji chipukizi Juma Issa Abushiri (Chuga) kutoka timu ya taifa ya vijana ya Tanzania (U-17). Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitano kuwa kwenye timu hiyo ambayo ina uhakika wa kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora msimu wa 2025/26. Akizungumza katika Hoteli…