
HUYU HAPA MCHEZAJI WA KWANZA KUTAMBULISHWA SIMBA SC
RASMI Simba SC imefanya utambulisho wa mchezaji wa kwanza kuelekea msimu wa 2025/26. Hii ni baada ya sanduku la usajili kupatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Hindi. Baada ya usajili kufunguliwa Simba SC ilikuwa kimya huku watani zao wa jadi wakitambulisha wachezaji wapya wa kazi kwa ajili ya msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani…