Shindano Jipya la Kasino, Ingia Ulimwenguni Wa Zombie Apocalypse

Meridianbet, kwa ushirikiano na Expanse Studios, wamezindua promosheni mpya ya kuvutia iitwayo Zombie Apocalypse, inayowaalika wachezaji kuingia katika ulimwengu wa kusisimua wa mapambano dhidi ya mazombi, huku wakifurahia burudani ya hali ya juu pamoja na fursa za kushinda za kipekee. Kuanzia tarehe 1 hadi 31 Agosti 2025, promosheni ya Zombie Apocalypse inawapa wachezaji changamoto ya kushiriki katika mchezo…

Read More

NANI KUCHUKUA TUZO YA MCHEZAJI EPL 2025/26?

Meridianbet inakuambia hivi, sasa unaweza kuweka jamvi lako kwa mchezaji ambaye unaona anaweza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu sasa. ODDS zao zinaanzia 7.00 na kuendelea hivyo usipitwe na chaguo hili sasa. Suka mkeka wako wa ushindi hapa. Alexander Isak raia wa Sweeden anapewa nafasi ya 8 kuchukua tuzo hiyo. Toka ajiunge na Magpies…

Read More

BEKI WA KAZI MLIGO ATAMBULISHWA SIMBA SC

KOCHA Fadlu Davids alipomuona kijana kwenye majukumu yake inaelezwa kuwa akawaambia mabosi wa Simba SC anahitaji saini ya Antony Mligo aliyekuwa ndani ya Namungo FC. Haya ni maandalizi kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ambapo Simba SC ilipishana na ubingwa msimu wa 2024/25 ulikwenda kwa watani zao wa jadi Yanga SC….

Read More

BEKI SIMBA SC AANZA KAZI UARABUNI

BAADA ya kutambulishwa katika Klabu ya USM Algers ya nchini Algeria beki Fondoh Che Malone ameanza mazoezi katika kikosi hicho. Beki huyo anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga ndani ya kikosi cha Simba SC kwenye mechi za ligi ilikuwa Uwanja wa KMC, Mwenge Dar. Katika mchezo huo Che Malone alifungua ukurasa wa mabao…

Read More

MSHAMBULIAJI WA MABAO YANGA SC AUZWA UARABUNI

INAELEZWA kuwa Yanga SC wamefikia makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wa mabao ndani ya kikosi hicho ambaye ni mzawa namba moja kufunga mabao mengi msimu wa 2024/25. Ni Clement Mzize ambaye alikuwa chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Mzize anashikilia rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi msimu uliopita. Mshambuliaji huyo alifunga jumla…

Read More

MERIDIANBET WAMKARIBISHA IMOON, MTOA HUDUMA MPYA MICHEZO YA KASINO MTANDAONI

Meridianbet wamewaletea wateja wao habari njema baada ya kumtambulisha rasmi mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino, iMoon Gaming, ambaye anachagiza mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya kasino mtandaoni. iMoon ni jukwaa la michezo lililojengwa kwa teknolojia ya kisasa likiwa limejikita kwenye utoaji wa michezo mirahisi na ya haraka huku ikiwa na burudani ya kutosha. Kipaumbele…

Read More

AUCHO KUCHEZA SIMBA SC ISHU IPO HIVI

WAKATI akitajwa kuwa huenda anaweza kuwa nyeupe na nyekundu kiungo mkabaji Khalid Aucho inaelezwa kuwa mpango huo ni ngumu kukamilika. Tetesi zimekuwa zikieleza kuwa Simba SC inahitaji huduma ya Aucho ambaye mkataba wake umegota mwisho ndani ya Yanga SC msimu wa 2024/25. Kwa sasa ni mchezaji huru na amewashukuru Yanga SC na mashabiki kwa kuwa…

Read More

CAF YAMFUTA KAZI MKURUGENZI MKUU WA WAAMUZI KUFUATIA SAKATA LA FAINALI YA WAFCON YA WANAWAKE

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limemfuta kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Waamuzi, Désiré Noumandiez Doué, kwa makosa yaliyofanywa katika Kombe la Afrika la Wanawake. Haya yanajiri baada ya Shirikisho la soka la Morocco (FRMF), kuwashutumu Waamuzi akiwemo Mukansanga Salima na Umutesi Alice kwa kuchezesha isivyo Fainali ya Kombe la Afrika kwa Wanawake. Mukansanga Salima…

Read More