
MZIZE KULIPWA MSHAHARA MREFU YANGA SC
MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Clement Mzize kuna uwezekano mkubwa akabaki ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2025/26 na atakuwa anakunja mshahara mrefu kwa mwezi. Taarifa zilikuwa zinaeleza kuwa Mzize kuna timu ambazo zinahitaji huduma yake kutoka Ulaya jambo ambalo lilikuwa linasubiriwa ni kuisha kwa mashindano ya CHAN. Wakati mashindano yanaendelea Tanzania imeishia hatua ya…