YANGA YAJIKITA NAFASI YA KWANZA,MSIMAMO HUU HAPA

MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 ushindi wa mabao 3-1 walioupata Yanga mbele ya Ruvu Shooting unawafanya wazidi kujikita ndani ya kwanza.

Ni mabingwa mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanasema kuwa juu kuna baridi kali hivyo wapewe masweta na majaketi wakati Mbeya Kwanza ikiwa nafasi ya 6 na pointi zake ni 7 sawa na Azam FC iliyo nafasi ya 7.

Polisi Tanzania wazee wa dozi wao wapo nafasi ya pili wametulia na pointi zao ni 10:-