
SALAH AGOMA KUSEPA LIVERPOOL
STAA wa Liverpool raia wa Misri, Mohamed Salah ameweka wazi kuwa kwa sasa hafikirii kuondoka ndani ya Liverpool na badala yake anahitaji kumaliza soka akiwa ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp. Salah amebainisha kuwa ikitokea siku akasepa ndani ya timu hiyo kisha siku akacheza na timu ambayo amehamia kwa wakati huo…