Bayern Yaamka na Kupindua Meza, Yapiga Sporting 3-1 UCL

Bayern Munich imeonyesha ubabe katika dimba la Allianz Arena baada ya kutoka nyuma 1-0 na kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Kichekesho kilitokea dakika ya 54 baada ya Joshua Kimmich kujifunga na kuwapa Sporting uongozi, lakini Bayern ikarejea mchezoni kwa nguvu na kufunga mabao matatu…

Read More

Chelsea Yapigwa, Liverpool Yang’ara, Barcelona Yapindua Meza Ulaya

Usiku wa jana umeshuhudia matokeo tofauti katika michezo ya Ulaya, huku Chelsea ikipoteza ugenini, Liverpool ikiwahi dakika za mwisho, na Barcelona ikitoa burudani ya kupindua meza. Atalanta 2-1 Chelsea Chelsea imekubali kipigo cha 2-1 dhidi ya Atalanta kwenye mchezo uliochezwa ugenini.Matokeo: ⚽ 55’ Gianluca Scamacca (Atalanta) ⚽ 83’ Charles De Ketelaere (Atalanta) ⚽ 26’ Pedro…

Read More

Coastal Union 0-1 Yanga SC, NBC Premier League

Coastal Union 0-1 Yanga SC, NBC Premier League ikiwa ni mchezo wa msimu wa 2025/26 uliokuwa na ushindani mkubwa uwanjani. Zilishuhudiwa dakika45 milango ikiwa ni migumu kwa timu zote mbili katika msako wa pointi tatu muhimu uwanjani. Ni Prince Dube mshambuliaji namba moja wa Yanga SC alifunga bao la ushindi katika dakika za lala salama…

Read More

Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025

Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa kikapu Tanzania (betPawa NBL 2025) yaliyomalizika Jumamosi kwenye uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma. Dar City ilitwaa kombe hilo baada ya kuichakaza Kisasa Heroes kwa pointi 80-51 wakati Fox Divas iliisambaratisha…

Read More

Mnyama apoteza mbele ya Azam FC kwa kupigwa 2-0

Simba SC 0-2 Azam FC ubao umesoma hivyo Uwanja wa Mkapa mara baada ya dakika 90 kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Wababe hawa wawili kwenye Mzizima Dabi kila mmoja alikuwa kwenye hesabu za kusaka ushindi na mwisho matajiri wa Dar, Azam FC wamewatuliza wenyeji wao. Mabao mawili yote yamefungwa kipindi cha pili ikiwa ni…

Read More

Simba vs Azam: Nani Ataibuka na Ushindi Leo?”

Leo, Desemba 7, 2025, uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, utakuwa mahali pa moto kwa mashabiki wa soka wakati Simba SC itakapoikaribisha Azam FC katika derby ya Mzizima, majira ya saa 11 jioni. Takwimu za Historia ya Mechi za Mwisho Katika mechi tano za mwisho za Ligi kuu kati ya Simba na Azam: Simba…

Read More