Home Sports JE UNITED ANAWEZA KUSHINDA KWA MARA YA KWANZA LEO HII?

JE UNITED ANAWEZA KUSHINDA KWA MARA YA KWANZA LEO HII?

Mambo Vipi mteja wa Meridianbet? Leo ndio leo na michezo ya Ligi ya mabingwa itapigwa kwenye viwanja mbalimbali kuanzia kule Old Trafford na kwingine pia. Ingia www.merididnabet.co.tz uanze kusuka mkeka wako wa maana na wenye maokoto ya kutosha.

Manchester United akiwa hajashinda mechi yoyote mpaka sasa atakuwa katika dimba la Old Trafford kumenyana dhidi ya FC Copenhagen kutoka Denmark. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa Ten Hag na vijana wake wakiwa ODDS ya 1.32 kwa 8.03. Nani kuondoka na alama zote leo hii?.

Galatasaray atamkaribisha nyumbani kwake Bayern Munich huku nafasi kubwa ya kushinda akiwa amepewa Thomas Tuchel na vijana wake wakiwa na ODDS ya 1.42 kwa 6.07. Mgeni ameshinda mechi mbili za mwanzo na mwenyeji wake ameshinda moja na sare moja. Nani kuondoka kifua mbele leo?

Mechi nyingine ya saa 1:45 itakuwa ni kati ya Inter Milan dhidi ya FC Salzburg  huku tofuati ya pointi kati yao ikiwa ni moja pekee. Vijana wa Inzaghi wapo nafasi ya pili na mgeni wao akiwa nafasi ya 3. ODDS KUBWA zipo mechi hii beti sasa.

Union Berlin baada ya kupoteza mchezo uliopita, atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Napoli ambaye amepewa ODDS ya 1.90 kwa 3.87. Berlin haijashinda mechi yoyte hadi sasa ikiwa kibonde kwenye kundi, huku Naples wao wakishinda mchezo mmoja kati ya miwili. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Pia kumbuka kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Aviator, Keno, Roullette, Poker na mingine kibao ndani ya Meridianbet uweze kupiga mkwanja wa maana. Kazia kwenye Kindege kwani ndio habari ya mjini kwa dau lako la shilingi 200 tuu na kuendelea unaweza kuwa Milionea.

Nao Arsenal watakuwa ugenini dhidi ya Sevilla ambao nao bado wanajitafuta wakiwa na sare mbili kwenye michezo yao miwili waliyocheza. Arteta na vijana wake wanahitaji ushindi ili kuongoza kundi B. Je wanaweza kuambulia nini leo hii mbele ya vijana wa Diego Alonso?. Mechi hii ina ODDS ya 1.81 dhidi ya 4.21.

Kivumbi kingine kitakuwa kule Ureno katika dimba la Municipal de Braga ambapo FC Braga watakuwa wenyeji wa Real Madrid ambaye ndiye kinara wa kundi hadi sasa. Nafais ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa Ancellotti na vijana wake akiwa na ODDS ya 1.47 kwa 5.88. Suka mkeka wako hapa.

Kesho nayo Ligi ya Mabingwa barani Ulaya itapigwa kwa mechi kadhaa zenye hela pale Meridianbet. Ingia na uanze kutengeneza jamvi lako haraka sana

Bingwa mtetezi Manchester City atakuwa ugenini dhidi ya Young Boys ambaye amepewa ODDS ya 13.72 kwa 1.18. Pep Guardiola na vijana wake wameshinda mechi zote mbili na wakiwa ndio vinara wa kundi. Mwenyeji anasaka pointi tatu za kwanza. Je anaweza kufanikiwa mbele ya bingwa huyu mtetezi?

Newcastle United baada ya kutoa dozi nzito mchezo wake uliopita atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund ambaye hajashinda mechi yoyote kwenye kundi F hadi sasa.  1.66 ndiyo ODDS ya Eddie Howe na vijana wake kushinda huku BVB wakipewa ODDS ya 4.90. Unadhani nani atachomoka na ushindi leo?

Wakati kwa upande mwingine, PSG baada ya kuchezea kichapo cha maana mchezo uliopita, atakuwa pale Parc des Princes kumenyana dhidi ya AC Milan ambaye mechi zote mbili za kwanza ametoa sare tuu. Ushindi wa Paris pale Meridianbet ni 1.76 kwa 4.41. Suka mkeka wako hapa.

Mechi nyingine yenye maokoto ya maana Meridianbet ni kati ya Royal Antwerp dhidi ya FC Porto na ODDS zao hazitofautiana sana kwani mgeni ana 2.06 kwa 3.52. Mwenyeji hajashinda mechi yoyote akiwa mkiani. Je leo anaweza kufurukuta? Beti sasa mechi hii.

Previous articleAFL: AL AHLY 0-0 SIMBA
Next articleFT: AL AHL 1-1 SIMBA