
SIMBA SC KUCHEZA FAINALI KESHO KMC COMPLEX
BENCHI la ufundi la Simba SC limebainisha kuwa litacheza mchezo wao dhidi ya Pamba Jiji Uwanja wa KMC Complex kama fainali ili kuvuna pointi tatu. Kwenye msimamo ni nafasi ya pili ikiwa na pointi 63 baada ya mechi 24 inatarajiwa kuwakaribisha Pamba Jiji inayonolewa na Kocha Mkuu, Fred Felix Mei 8 2025 kwenye msako wa…