
MERIDIANBET YAFIKA MBEZI AFRICANA KWAAJILI YA CSR
Wababe wa ubashiri Meridianbet kama ilivyo kawaida kwao jamii ndio kila kitu kwako, hivo siku ya leo waliamua kufika Mbezi Africana pale Kituoni na kufanya zoezi la usafi. Katika hatua ya kipekee ya kuhimiza uwajibikaji wa kijamii na kizalendo miongoni mwa vijana, kampuni ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet ilikuja na Slogan ya “Vijana na…