GEITA GOLD WATUMA UJUMBE HUU AZAM FC
KUELEKEA kwenye mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex uongozi wa Geita Gold umeweka wazi kuwa unahitaji pointi tatu kwenye mchezo huo. Akizungumza na Saleh Jembe, Felix Minziro, Kaimu Kocha Mkuu wa Geita Gold amesema kuwa waliwatazama Azam FC katika mechi…