
LIVERPOOL YAMPA KOCHA WAKE HASIRA
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp amegeuka mbogo kwa wachezaji wake kwa kuwaeleza kuwa walicheza chini ya kiwango kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England na kuwafanya watoshane nguvu na wapinzani wao Brighton. Ilikuwa ni Oktoba 30 ambapo Liverpool walikuwa wanapewa nafasi ya kushinda kwa kuwa walikuwa wametoka kuwanyoosha mabao matano Manchester United ila…