
SIMBA KUNDI MOJA NA RS BERKANE KOMBE LA SHIRIKISHO
LEO droo ya makundi imepangwa nchini Misri kikosi cha Simba kimepangwa kundi D ambalo litawafanya wakutane na Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco. Pia timu nyingine ni pamoja ASEC Mimosas, USGN ambazo zipo kundi moja katika Kombe la Shirikisho. Pia kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho….