
WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA WANATAKA KUTINGA ROBO FAINALI
KLABU ya US Gendarmerie ya Djibouti imesema imepangwa kundi zuri na Simba SC ya Tanzania hivyo wanao uhakika mkubwa wa kusonga mbele katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Droo ya makundi imepangwa nchini Misri ikiwa ni tayari kwa ajili ya kuweza kushuhudia mpambano wa kusaka taji hilo mwaka mpya wa 2022 na Tanzania…