HIVI ndivyo makundi ya Kombe la Shirikisho namna ambavyo yamepangwa leo Desemba 28,Misri:-
Kundi A ni Pyramids FC,CS Sfaxen, Zanaco na Ahli Tripoli.
Kundi B ni JSK/R. Leopards, Orlando Pirates, JS Saoura na Al Ittihad.
Kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho.
Simba kutoka Tanzania ipo kundi D pamoja na RS Berkane ya Morocco na nyingine ni ASEC Mimosas, USGN ambazo zipo kundi moja katika Kombe la Shirikisho.