
MOROCCO KUKUTANA NA MOROCCO, KIVUMBI CHAN 2024
TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hemed Suleman maarufu kwa jina la…
TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Hemed Suleman maarufu kwa jina la Morocco itacheza na timu ya taifa ya Morocco kwenye mchezo wa robo fainali CHAN 2024 Uwanja wa Mkapa. Tanzania inaongoza kundi B ikiwa na pointi 10 baada ya mechi nne ambapo katika mechi hizo ilipata ushindi mechi tatu na kugawana…
MSHAMBULIAJI namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi msimu wa 2024/25 Clement Mzize bado ana mkataba na Yanga SC kuelekea msimu wa 2025/26. Mzize amekuwa akitajwa kuwa katika rada za timu mbalimbali ambapo kuna timu moja kutoka Tunisia inatajwa kuweka dau kubwa mezani kupata saini yake kwa ajili ya changamoto mpya. Rekodi zinaonyesha kuwa msimu…
Hemed Suleman, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema watafanyia kazi makosa yaliyopita kuwa imara zaidi huku akibainisha kuwa ni ngumu kucheza na timu ambayo haina chakupoteza. Tanzania Agosti 16 2025 mchezo wa CHAN 2024 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Afrika ya Kati 0-0 Tanzania. Licha ya matokeo hayo Tanzania ina…
Je unajua kuwa sasa ni zamu yako ya kupiga mkwanja wa maana na Meridianbet?. Ligi zimerejea kwa kishindo sana hivyo na wewe changamkia fursa yako sasa uibuke bingwa leo. Tukianza na kule Hispania leo LALIGA kuna mechi kali, bingwa mtetezi wa ligi FC Barcelona atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya RCD Mallorca moja ya…
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamempitisha kwa kishindo Rais wa sasa, Wallace Karia, baada ya kumpigia kura za ndiyo kwa asilimia 100. Karia alikuwa mgombea pekee wa nafasi ya urais, kufuatia wagombea wengine kuenguliwa na Kamati ya Uchaguzi kwa kushindwa kutimiza vigezo vya kikanuni. Kwa ushindi huo, Karia…
RASMI Azam FC imewatambulisha wachezaji wapya wawili ambao watakuwa chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba Azam FC itapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ambapo itaanzia hatua za awali na mchezo wa kwanza unatarajiwa kuchezwa ugenini katika kusaka ushindi….
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC wameanza kukusanya makombe kuelekea msimu mpya wa 2025/26 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Amahoro. Mabao ya mchezo huo yalifungwa na Aziz Andambwile wa Yanga SC ambaye alijifunga dakika ya 2,…
Fikiria dunia ambayo kila dau lako linakuwa ni safari ya kusisimua, kila spin ni hatua ya ushindi, na kila mchezo unakuweka karibu na zawadi kubwa zaidi. Dunia hiyo sasa ipo kupitia Meridianbet Missions, mfumo wa kipekee kabisa ulioundwa kwa ajili ya wapenzi wa michezo ya kasino na slots. Kwa mara ya kwanza, Meridianbet inakupa nafasi…
VINARA wa kundi B Tanzania kesho watakuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Afrika ya Kati mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Stars ina uhakika wa kucheza hatua ya robo fainali. Kwenye mechi tatu imekusanya pointi tisa ikipata ushindi kwenye mechi zote muhimu. Ilifungua pazia Agosti 2 2025 kwa ushindi wa mabao 2-0…
Safari yako ya ushindi inaanza kwa kubashiri mechi zote za leo ambazo zipo Meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 yapo na Odds zake ni za uhakika kabisa sasa usisubiri kupitwa na fursa hii. Tandika jamvi hapa. Pazia la EPL litafunguliwa pale Anfield ambapo AFC Bournemouth atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Liverpool akiwa na ODDS 8.00…
Leo Alhamisi, kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu mpya kwa mtindo wa kipekee – kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro. Ziara hiyo imekuwa sehemu ya kujivinjari na kuendeleza utalii wa ndani, ikiwapa wachezaji na benchi la ufundi nafasi ya kufurahia mandhari ya asili na urithi…
KLABU ya Azam Fc imefikia makubaliano na klabu ya Yanga kuhusu mchezaji, Nizar Abubakar Othman almaarufu Ninju ambaye Yanga Sc ilimtangaza kama mchezaji wake mpya mnamo Julai 14, 2025. Hatua hiyo imekuja baada ya sintofahamu iliyojitokeza hapo awali baada ya klabu ya Yanga kumtambulisha mchezaji huyo kama mchezaji wake mpya kabla ya Azam Fc kuibuka…
Hii ni kwa wasuka majamvi wote, kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi basi kaa tayari kulifanya jamvi lako kuwa la kusisimua zaidi. Meridianbet inakuleta Bet Builder, chaguo la kipekee linalokuwezesha kubadilisha maarifa yako ya michezo kuwa ushindi wa kweli.Sasa unaweza kuchanganya chaguo nyingi ndani ya mechi moja na kupata odds za kipekee ambazo zitakuletea…
MSHAHARA wa kiungo wa Tanzania ambaye anacheza ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani unatajwa kuwa tishio kutokana na ukubwa wake na thamani ya kiungo huyo mzawa. Ilikuwa inatajwa kuwa Yanga SC na Simba SC zilikuwa kwenye hesabu za kuwania saini ya kiungo huyo. Simba SC walikuwa…
Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na GSM Foundation inayosimamiwa na mdhamini wa klabu, Ghalib Said Mohammed, na haukutoka kwenye hela za wanachama au mfuko wa klabu. Yanga pia imesema radhi kwa wanachama na mashabiki kwa sintofahamu iliyotokea kutokana na taarifa hiyo.
Klabu ya Simba SC imethibitisha kumsajili kiungo kiraka raia wa Guinea, Naby Camara, kama mchezaji huru kwa mkataba wa miaka miwili, utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2027. Camara mwenye umri wa miaka 23 ana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo wa kati na beki wa kushoto. Anasajiliwa ili kuongeza nguvu kwenye upande wa kushoto wa…
Mchambuzi mashuhuri wa soka Bongo, @salehjembefacts, ametoa maoni yake kuhusu kitendo cha klabu ya Yanga SC, chini ya uongozi wa Rais wake Injinia Hersi Said, kuchangia Shilingi milioni 100 kwenye harambee ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Saleh Jembe amesisitiza kwamba kitendo hicho kimevutia hisia mchanganyiko miongoni mwa mashabiki wa…