
HAWA HAPA WAPINZANI WA YANGA SC KIMATAIFA
Kwene anga la kimataifa Yanga SC ya Tanzania katika anga la kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa kucheza na Klabu ya Wiliete Benguela ya Angola. Ni katika droo ya hatua za awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika ambayo imechezwa Agosti 9 2025. Droo hiyo imefanyika katika studio za Azam TV,…