
SUPER HELI YAWASILI MERIDIANBET, SIMU MPYA ZASUBIRI WASHINDI WA KWELI
Meridianbet kwa mara nyingine imeleta burudani mpya kupitia mchezo pendwa wa Super Heli, mchezo wa kasino ya mtandaoni unaokupeleka angani na kukuacha ukishuka na zawadi za nguvu. Ikiwa na muundo wa kuvutia unaofanana kwa mbali na ule wa Aviator, Super Heli imeboreshwa kwa kupewa muonekano mpya, dau la kirafiki kwa kila mtu, na zawadi kubwa…