
AUCHO KUCHEZA SIMBA SC ISHU IPO HIVI
WAKATI akitajwa kuwa huenda anaweza kuwa nyeupe na nyekundu kiungo mkabaji Khalid Aucho inaelezwa kuwa mpango huo ni ngumu kukamilika. Tetesi zimekuwa zikieleza kuwa Simba SC inahitaji huduma ya Aucho ambaye mkataba wake umegota mwisho ndani ya Yanga SC msimu wa 2024/25. Kwa sasa ni mchezaji huru na amewashukuru Yanga SC na mashabiki kwa kuwa…