
AS FAR RABAT YAAGANA RASMI NA HENOCK INONGA BAKA
Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja pekee. Kupitia taarifa rasmi ya klabu hiyo, AS FAR imeuthibitisha kuachana na beki huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa heshima na shukrani kwa mchango wake katika kikosi…