LEO droo ya makundi imepangwa nchini Misri kikosi cha Simba kimepangwa kundi D ambalo litawafanya wakutane na Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco.
Pia timu nyingine ni pamoja ASEC Mimosas, USGN ambazo zipo kundi moja katika Kombe la Shirikisho.
Pia kundi C linatimu nne ambazo ni TP Mazembe,Cotton Sport FC. Al Masry, AS Otoho.
Kundi B ni JSK/R. Leopards, Orlando Pirates, JS Saoura na Al Ittihad.