MSANII na shabiki mkubwa wa Yanga, Mboto amesema kuwa wapinzani wao wanatamani kusema kwamba wamepata ushindi kwa shida mbele ya Biashara United lakini wanashindwa.
Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Yanga Desemba 26 mbele ya Biashara United unawafanya waweze kuwa na uhakika wa kumaliza 2021 wakiwa nafasi ya kwanza na pointi zao ni 26.