
MASAU BWIRE YUPO BIZE NA MAJUKUMU YA TAIFA
BAADA ya dakika 90 kukamilika kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Ruvu Shooting v Simba uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting alikuwa kwenye jukumu zito la kutimiza majukumu ya taifa. Ubao ulisoma Ruvu Shooting 1-3 Simba na kufanya mabingwa hao watetezi kusepa na pointi tatu jumlajumla. Mabao ya…