
SIMULIZI KUHUSU JAMAA ALIYEPOTEA KWA MUDA KISA SHILINGI
SIMULIZI ya kuhusu aliyepotea kwa muda usiojulikana kisa fedha:- Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile. Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe kwelikweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati zangu za…