
NABI ANASA FAILI LA PABLO FRANCO
NABI alinasa faili la Pablo Franco, ndani ya gazeti la Spoti Xtra Alhamisi.
NABI alinasa faili la Pablo Franco, ndani ya gazeti la Spoti Xtra Alhamisi.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba leo wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Godld baada ya dakika 90 kukamilika lakini cha moto wamekiona. Mchezo wa leo haukuwa mwepesi kwa Simba wala Geita Gold kwa kuwa timu zote mbili zilikuwa zinaupiga ule mpira wa darasani huku Geita Gold wakicheza kwa kujiamini wakati…
UWANJA wa Mkapa leo mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba dhidi ya Geita Gold tayari dakika 45 zimekamilika. Simba inakwenda mapumziko ikiwa mbele kwa bao moja kwa bila ambalo limefungwa na Peter Banda. Ilikuwa ni dakika ya 9 baada ya Simba kuanza kwa kasi kuliandama lango la Geita Gold ambao dakika tano za…
MBWANA Makata ni kocha mzawa pekee ambaye yupo ndani ya tatu bora kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22. Akiwa ndani ya Dodoma Jiji, Makata amekuwa kwenye mwendo bora ambapo mpaka sasa amekuwa akigawa zabibu kwenye mechi zake ambazo wanacheza na wachezaji wake wengi asilimia mia ni wazawa. Kikosi hicho baada ya…
LEO Desemba Mosi, kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Geita Gold kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 1:00 usiku na kikosi cha Simba kitakachoanza kipo namna hii huku Banda Peter naye akianza kikosi cha kwanza:- Aishi Manula Shomari Kapombe…
KUELEKEA kwenye mchezo wa leo wa Simba v Geita Gold, mchambuzi wa masuala ya michezo ndani ya ardhi ya Tanzania, Mussa Mateja ameweka wazi kwamba mchezo wa leo utakuwa na ushindani kwa timu zote mbili. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Franco Pablo leo itawakaribisha Geita Gold kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. Mateja ameweka wazi…
HABARI njema kwa mashabiki wa Azam ni kurejea na kuanza mazoezi kwa mshambuliaji wao Mzimbabwe Prince Dube aliyekosekana kwa muda mrefu, huku chungu nyingine ikiwa ni ile ya kukosekana kwa kiungo mshambuliaji wao Ayoub Lyanga kwa muda wa miezi miwili. Dube amekosekana uwanjani tangu mwezi Mei mwaka huu kutokana na tatizo la tumbo alilolipata…
DIDIER Gomes ambaye aliamua kuondoka ndani ya kikosi cha Simba baada ya kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Jwaneng Galaxy Uwanja wa Mkapa amesema kuwa Peter Banda anahitaji muda. Gomes alikuwa ni Kocha Mkuu wa Simba na mafanikio yake makubwa ni kuipeleka Simba hatua ya robo fainali, alikwama kufanya vizuri kwa msimu wa 2021/22 kwa kuwa…
KIKOSI cha Yanga, leo Desemba Mosi,kimerejea Dar kikotea Mbeya ambapo kilikuwa kilikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza. Jana, Uwanja wa Sokoine baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mbeya Kwanza 0-2 Yanga. Mabao ya Yanga yalifungwa na Fiston Mayele pamoja na Said Ntibanzokiza ambao wamekuwa katika ubora wao. Kituo kinachofuata kwa…
MCHEZO wa Namungo FC dhidi ya Ruvu Shooting umeshikilia hatma ya Kocha Mkuu, Hemed Morocco na Mtendaji Mkuu, Omary Kaaya. Kwa mujibu wa Kamati Tendaji ya Namungo na mwenyekiti wake ni Hassan Zidadu imekubaliana kufanya hivyo baada ya kukaa kikao Jumatatu ya Novemba 29. Zidadu ameweka wazi kuwa wamekuwa na mwendo ambao hauridhishi katika timu…
CRISTIANO Ronaldo, nyota wa kikosi cha Manchester United ametoa ujumbe wenye hasira kuhusu Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia, (Ballon d’Or) baada ya mpinzani wake Lionel Messi kushinda. Mshambuliaji huyo wa Manchester United amemshutumu bosi wa Ballon d’or Pascal Ferre aliyetamka kuwa ndoto kubwa ya Ronaldo ni kumaliza maisha yake ya soka akiwa na tuzo…
WAKATI Arsenal wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kwa sasa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester United kuna hatihati ya kuweza kukosa huduma ya nyota Bukayo Saka. Licha ya matumaini kuwa makubwa bado mpaka sasa haijathibitishwa kwamba nyota huyo anaweza kucheza ama la mbele ya Manchester United. Ikumbukwe kwamba Saka ambaye…
AZAM FC usiku wa kuamkia leo Desemba Mosi wameitungua Mtibwa Sugar bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Ushindi kwa Azam FC unaipa mwendo mgumu Mtibwa Sugar kwa kuwa haijui ladha ya ushindi mpaka sasa baada ya kucheza mechi saba na kibindoni ina pointi zake mbili. Ni bao la…
Mwezi Disemba unaanza kwa burudani za kibingwa. Kuanzia NBA, Ligi Soka nchini Uingereza (EPL) na kule kwenye Championship, ni vitasa vya kila namna. Nani ni nani? Ikaribishe Disemba Mosi kwa mchezo wa NBA kati ya Phoenix Suns vs Golden State Warriors. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu mbili ambazo zinafanya vizuri kwenye NBA msimu huu….
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
WATOTO wa Mbeya Kwanza leo Novemba 30 hawakuwa na chaguo mbele ya Yanga baada ya kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Sokoine. NBC Premeir Leageu inazidi kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa kuwa kila timu inapambana kusaka pointi tatu muhimu jambo ambalo limefanya…
NI Linkee, kampuni mpya ya teknolojia inayounganisha madereva na abiria, inatangaza tarehe rasmi ya uzinduzi wa huduma yake jijini Dar es Salaam. Kampuni inawaalika abiria na madereva wote wa ndani kujisajili kwenye Programu ya simu mahiri ya Linkee na kuanza kufurahia manufaa ya kusafiri kwa bei nzuri, kunyumbulika na kwa udhibiti kamili. Dar es Salaam…