
SIMBA NI LAZIMA KUWAHESHIMU RED ARROWS, PICHA YA JWANEG HAIJAISHA
NI dakika nyingine tena 90 zitakazoamua hatma ya Tanzania kupata mwakilishi kimataifa kama msimu uliopita wa Klabu Bingwa Afrika walivyokuwepo Simba na kutinga Robo fainali. Kwanza kabisa Simba wanatakiwa kusahau matokeo yaliyojitokeza kwenye mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam kuwa hata Red Arrows wanaweza kupata matokeo kama waliyopata Simba kwa kutumia vyema uwanja wa…