Home Sports EPL, CHAMPIONSHIP NA NBA KUENDELEA KUTOA BURUDANI WIKI HII

EPL, CHAMPIONSHIP NA NBA KUENDELEA KUTOA BURUDANI WIKI HII

Mwezi Disemba unaanza kwa burudani za kibingwa. Kuanzia NBA, Ligi Soka nchini Uingereza (EPL) na kule kwenye Championship, ni vitasa vya kila namna. Nani ni nani?

 

Ikaribishe Disemba Mosi kwa mchezo wa NBA kati ya Phoenix Suns vs Golden State Warriors. Huu ni mchezo unaozikutanisha timu mbili ambazo zinafanya vizuri kwenye NBA msimu huu. Suns na Warriors wamekuwa ni vinara wa kuondoka na pointi viwanjani, wakutanapo leo usiku nani ataondoka na furaha au maumivu? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.66 kwa Suns.

Kwenye soka, Merseyside Derby kuchezwa Jumatano hii. Everton kuwaalika Liverpool pale Goodison Park. Pamoja na upinzani wa timu hizi zinazotoka kwenye jimbo 1, huu ni mchezo ambao Rafa Benitez atacheza dhidi ya timu aliyowahi kuiongoza. Benitez aliwahi kuiongoza Liverpool na sasa yupo Everton. Kwa upande wa viwango, Liverpool wanatembeza vipigo vikubwa huku Everton akiwa ametoka kupoteza mchezo dhidi ya Brentford. Odds ya 1.42 imewekwa kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

 

Alhamisi utachezwa mchezo wa kukata na shoka pale Old Trafford. Manchester United kuwaalika Arsenal. United mpya chini ya kocha mpya, maisha mapya baada ya Ole Gunnar Solskjaer kuondolewa klabuni hapo. United ambayo haijapoteza mchezo chini ya Carrick, dhidi ya Arsenal yenye morali chini ya Mikel Arteta. Old Trafford imekuwa ni sehemu ya kuwaumizia United kwa siku za hivi karibuni, itaendelea kuwa hivyo au mambo yatabadilika? Ifuate Odds ya 2.06 kwa United kupitia Meridianbet.

 

Kwenye Championship Ijumaa hii, watakutana vigogo wawili wanaowania nafasi ya kucheza EPL msimu ujao. Bournemouth kuwaalika Fulham. Wikiendi yako inaanzaje? Uhakika wa magoli kwa timu hizi upo. Swali ni, nani ataondoka na pointi 3 za ushindi? Unaweza kuiweka karata yako kwa  Fulham, odds ya 1.91 ipo Meridianbet.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Previous articleMUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
Next articleAZAM FC YAITULIZA MTIBWA SUGAR JUMLAJUMLA