SIMBA WAMESHINDA ILA CHA MOTO WAMEKIONA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba leo wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Godld baada ya dakika 90 kukamilika lakini cha moto wamekiona. Mchezo wa leo haukuwa mwepesi kwa Simba wala Geita Gold kwa kuwa timu zote mbili zilikuwa zinaupiga ule mpira wa darasani huku Geita Gold wakicheza kwa kujiamini wakati…