LEO Desemba Mosi, kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Geita Gold kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Mkapa.
Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 1:00 usiku na kikosi cha Simba kitakachoanza kipo namna hii huku Banda Peter naye akianza kikosi cha kwanza:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Gadiel Michael
Joash Onyango
Kenned Juma
Jonas Mkude
Peter Banda
Bwalya
John Bocco
Kibu Dennis
Ibrahim Ajibu
Akiba
Kakolanya
E.Nyoni
Hussein
Wawa
Morrison
Dilunga
Kagere
Mhilu