
DAKIKA 45 YANGA WANAULIZA NYIE HAMUOGOPI
WAKIWA Uwanja wa Sokoine Mbeya vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanauliza eti :’Nyie Hamuogopi’ baada ya kwenda mapumziko wakiwa vifua mbele. Dakika 45 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Sokoine unasoma Mbeya Kwanza 0-2 Yanga. Kipindi cha kwanza Yanga wametawala mchezo ambapo wamefunga mabao mapema kabisa ndani ya dakika 20 za awali. Ilikuwa ni…